top of page

UWAFUNDISHE KWA BIDII!

Nawe mpende BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na zako zote.

Na maneno haya ninayokuamuru leo, yatakuwa katika moyo wako;

nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii.

(Kumbukumbu la Torati 6, 5-7)

Je! Unatafuta vitabu vipya kwa ajili ya kuwafundisha watoto Habari ya Biblia katika shule ya Jumapili, vipindi vya dini mashuleni, Kid’s Club n.k.

 

Soma zaidi juu ya Masomo Bunifu ya Biblia (MBB)

Watoto Wadogo

wa umri 4-6

Masomo kwa muda wa miaka 2

Watoto wa kati

wa umri 7-9

Masomo kwa muda

wa miaka 3

Watoto wakubwa

wa umri 10-12

Masomo kwa muda

wa miaka 3

bottom of page